S.3 Kiswahili, Term 3
Rangi mbalimbali
What you will learn
S.3 · Kiswahili · Term 3
Rangi mbalimbali
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na rangi mbalimbali pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Ataje rangi mbalimbali na aeleze maana yake | |
| 2 | Abaini rangi tofauti za upinde wa mvua | |
| 3 | Atambue rangi zilizo katika taa za barabarani na aeleze maana ya rangi hizo | |
| 4 | Atambue rangi zilizo katika bendera ya taifa na aeleze maana ya rangi hizo | |
| 5 | Asome makala na kujibu maswali | |
| 6 | Aeleze jinsi ya kuepuka ajali barabarani | |
| 7 | Atunge sentensi akitumia: `- a`unganifu, viwakilishi vya pekee na vielezi vya mahali na wakati | |
| 8 | Abuni shairi kuhusu rangi tofauti. - | |
| 9 | Atambue kanuni za ufupishaji | |
| 10 | Afupishe makala |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Rangi mbalimbali? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.3 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.