Skip to content
revisionpapers
S.4 Kiswahili topics

S.4 Kiswahili, Term 1

Amani na usalama

12 periods 12 learning outcomes

What you will learn

S.4 · Kiswahili · Term 1

Amani na usalama

KIS-S4-T1-02 12 periods

Competency

Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na amani na usalama pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.

Learning outcomes for Amani na usalama
1 Atambue msamiati wa amani na usalama
2 Afafanue mashirika yanayoendeleza amani na usalama
3 Atathmini dhima ya mashirika yanayoendeleza usalama
4 Ajadili vitendo vinavyoashiria ukuaji wa amani na usalama
5 Asome makala kuhusu jinsi ya kudumisha amani na usalama kisha ajibu maswali
6 Atumie vimilikishi na viunganishi katika sentensi
7 Atambue nomino za
8 Makundi halafu azitumie kutunga sentensi
9 Abaini na kutumia alama zote za uakifishaji katika sentensi na uandishi wa insha
10 Aeleze maudhui ya usalama katika novela husika. -
11 Atambue hatua muhimu za uandishi wa insha ya tahariri
12 Aandike insha ya tahariri
What do the labels mean?

Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.

Ask the AI tutor

Stuck on Amani na usalama? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.4 syllabus and our notes.

Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →

AI tutor

S.4 Kiswahili · Amani na usalama

Hello! I can explain Amani na usalama, set you practice questions or mark your answers. What would you like to do?

AI can make mistakes. Check with your notes and teacher.

Notes

Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.

Downloads

No files for this topic yet. Share yours.

Questions about this topic

Ask a question

Stuck on something? Ask, and learners and teachers will help.