S.4 Kiswahili, Term 1
Migogoro na maridhiano
What you will learn
S.4 · Kiswahili · Term 1
Migogoro na maridhiano
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na migogoro na maridhiano pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Aainishe migogoro mbalimbali inayoibuka katika jamii | |
| 2 | Afafanue chanzo cha migogoro hiyo | |
| 3 | Ajadili madhara ya migogoro katika jamii | |
| 4 | Atambue mashirika na watu mashuhuri wanaohusika katika utatuzi wa migogoro | |
| 5 | Asome hadithi inayohusu uwiano na wanafu maridhiano na kujibu maswali | |
| 6 | Atambue vivumishi visisitizi na kuvitumia katika sentensi | |
| 7 | Atumie misemo halisi katika mazungumzo yake | |
| 8 | Atunge sentensi sahihi akitumia ngali na ngeli | |
| 9 | Atambue migogoro katika hadithi | |
| 10 | Atege na kutegua vitendawili mbali mbali | |
| 11 | Aeleze utaratibu wa kuandika kumbukumbu | |
| 12 | Aandike insha ya kumbukumbu |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Migogoro na maridhiano? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.4 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.