S.4 Kiswahili, Term 2
Ngoma na burudani
What you will learn
S.4 · Kiswahili · Term 2
Ngoma na burudani
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na ngoma na burudani pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue ngoma mbalimbali za kitamaduni | |
| 2 | Abaini namna ngoma za kitamaduni zinavyochezwa na ala za mziki zinazotumiwa | |
| 3 | Aeleze umuhimu wa burudani kwa jamii | |
| 4 | Asome makala kuhusu burudani mbalimbali na wanafun kujibu maswali | |
| 5 | Atunge sentensi akitumia viwakilishi virejeshi na ngeli ya PA-KU- MU akizingatia upatanishi wa kisarufi | |
| 6 | Abaini udogo na ukubwa wa nomino mbalimbali | |
| 7 | Ajadili nyimbo mbalimbali za utamaduni kulingana na mazingira yake | |
| 8 | Atambue utaratibu wa kuandika insha ya tangazo | |
| 9 | Aandike tangazo la kualika watu kuhudhuria tamasha |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Ngoma na burudani? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.4 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.